RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Karume na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhajj Dk.Ali Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Karume na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika 23-4-2023 katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.