RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Fainali za Mashindano ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Fainali za Mashindano ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar 19-4-2023