RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mkuu wa Paje Wilaya ya Kusini Unguja leo 12-5-2023, na (kulia kwa Rais) Mfadhili wa U
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mkuu wa Paje Wilaya ya Kusini Unguja leo 12-5-2023, na (kulia kwa Rais) Mfadhili wa Ujenzi wa Msikiti huo Dkt. Mahir Bakar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid