RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mshiriki wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufi Tanzania, ni mshiriki mwenye umri
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mshiriki wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufi Tanzania, ni mshiriki mwenye umri mdogo wa miaka 10 kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman, baada ya kumkabidhi dola 500, zilizotolewa na Benki ya CRDB (kushoto ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Alhajj Dk.Abdulmajid Nsekela, baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam