RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg.Abass Mtevu, alipomaliza kutowa mkono wa pole
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg.Abass Mtevu, alipomaliza kutowa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Shomar Khamis Shomar, Kaka wa Makamu Mwenyekiti wa (UWT) Taifa Zainab Khamis Shomari, nyumbani kwa marehemu Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja 02-01-2024