RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisoma na Hatibu Sheikh.Ally Abdurahaman Al Hilaal,(hayupo pichani) baada kwa Hutuba ya Sala
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisoma na Hatibu Sheikh.Ally Abdurahaman Al Hilaal,(hayupo pichani) baada kwa Hutuba ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Alhajj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla