RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Simai Msaraka Pinja, wakati wa maziko yake yaliyofanyika Kijiji kwao Chwak

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Simai Msaraka Pinja, wakati wa maziko yake yaliyofanyika Kijiji kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja 13-5-2023.