RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.