RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum iliyotolewa na UWT Taifa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum iliyotolewa na UWT Taifa ya kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Mary Chatanda, wakati wa mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-11-2023