RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti, Tuzo na Fedha Mfanyakazi Bora
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti, Tuzo na Fedha Mfanyakazi Bora wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Afisa Msaidizi wa Utawala.Bi. Yasinta Stephen, wakati wa mkutano wake na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-02023, na (kushoto kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa. Balozi.Tuvako Manongi.