RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Balozi Tuvako Manongi, baada ya kumalizika kwa mkutano na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.