Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo Fanti (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo Fanti (kushoto) wakati alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar.