Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake nchini Qatar, amekutana na viongozi wa kampuni ya Power International Holding.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake nchini Qatar, amekutana na viongozi wa kampuni ya Power International Holding. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wameonesha kupendezwa na mradi wa umeme wa Zanzibar.