Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.