Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar,wanaotia saini (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.Juma Malik Akili na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Nd,Hamad Bin Kurdous Al-Amry (kushoto).