Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kikombe Nahodha wa Timu ya Karume Boys Ashraf Ali Othman, baada ya ushindi na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Uf
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kikombe Nahodha wa Timu ya Karume Boys Ashraf Ali Othman, baada ya ushindi na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir