Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani KarumeZ’bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake baada ya hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar