Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.