Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM Mwanza pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini kuelekea Musoma Mkoani Mara. akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM.