Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Bibi Raifa Kibwana Mkaazi wa Dole, Wilaya ya Magharibi A akizungumzia changamoto zinazowakabili.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Bibi Raifa Kibwana Mkaazi wa Dole, Wilaya ya Magharibi A akizungumzia changamoto zinazowakabili katika Shehia yao wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.