Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanamichezo baada ya matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanamichezo baada ya matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar