Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi Tunzo ya wanaotoa Ushirikiano zaidi kwa ukusanyaji kodi kwa Wilaya ya Kusini,Sheha wa Shehiya Paje Nd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi Tunzo ya wanaotoa Ushirikiano zaidi kwa ukusanyaji kodi kwa Wilaya ya Kusini,Sheha wa Shehiya Paje Ndg,Mohamed Rajab Mzale (Shelisheli)akipokea katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi.