Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge (wa pili kulia) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.