Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi na Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg.Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini.