Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakecha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar(kushoto) Mke wa Rais wa Zanziar Mama Mariam Mwinyi,akifuatia Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Taia Maulid Mwita 01/01/2023.