Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizindua Mifumo ya Kielektroniki katika Utumishi wa Umma katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Utumishi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizindua Mifumo ya Kielektroniki katika Utumishi wa Umma katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene.