Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Uk
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya mendeleo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake