Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa nne kushoto) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha