Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.