Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.