Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Tunzo maalum ya VIP Global Water Changemarkers Awards,kutoka kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Tunzo maalum ya VIP Global Water Changemarkers Awards,kutoka kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushirika wa Maji Duniani na Kusini mwa Afrika Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar