Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya Mazungumzo.