Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Bw. Nicholas Reynolds akiwa na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Bw. Nicholas Reynolds akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.