Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (wa pili kulia)