Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani ya GPE Duniani katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana