Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.