Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu, baada ya kumalizika kwa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi