Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akifungua Mlango kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akifungua Mlango kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali wa Taasisi ya T-marc wakishuhudia uzinduzi huo,pia akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi.Kate Somvongsiri(wa nne kulia)