Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea “Zawadi ya Upendo na Maendeleo ya Vijana” kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. K
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea "Zawadi ya Upendo na Maendeleo ya Vijana" kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri(wa pili kulia) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Bw.Alex Mgongolwa. katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar