Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu ya Atomu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu ya Atomu Tanzania (TAEC) katika Kijiji cha Dunga Zuze Wilaya ya kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia)Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania Prof.Joseph Msambi Chaka,Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira,pia Mbunge wa Jimbo la Uzini Mhe.Khamis Hamza Chilo