Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuele
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo