Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank – Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini