Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Pascal Stephano (kushoto) wa Taasisi ya Moswery
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Pascal Stephano (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati wa ufunguzi wa maonesho tamasha la Kilimo hai,