Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipokea zawadi kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipokea zawadi kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai,