Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Ali S. Ameir wakifungua pazia kwa pamoja kama ishara ya Uwekaji wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Ali S. Ameir wakifungua pazia kwa pamoja kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Maradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari, Malindi Wilaya ya Mjini leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar