Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakifungua paz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar