Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akiondosha pazia na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akiondosha pazia na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi kama ishara ya uwekaji wa jiwe la Msingi Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar