Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharib
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi,katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar