Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.