RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)akimkabidhi cheti cha Usajili wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Mkurugenzi Mkuu Ndg,Abdul Nasib (Diamond)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)akimkabidhi cheti cha Usajili wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Mkurugenzi Mkuu Ndg,Abdul Nasib (Diamond)wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Studio hizo zilizozinduliwa Kilimani Jijini Zanzibar 13/12/2022